Header Ads

Staili Mpya ya kangi Lugola Maumivu kwa Mafisadi

Lugola Aja na Staili Mpya ya Kichungaji Kumsifia Rais Magufuli
Waziri  wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amekuja  na staili mpya ya kichungaji kumsifia Rais Magufuli kwa utendaji uliotukuka huku akimhakikishia ataendelea kupambana na mafisadi yote yanayokula fedha za umma.

Lugola amefunguka hayo Leo Septemba 10, 2018 wakati Rais Magufuli akizindua ujenzi wa Daraja la  mto Sibiti linalounganisha mkoa wa Simiyu na Singida

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.