Header Ads

TB Joshua ni tapeli tu- Mzee wa upako


"Yule TB Joshua ni tapeli tu, kama angekuwa nabii si angeona jengo lake lile linavyoanguka? Pia nchini kwake kuna wale mabinti waliotekwa kipindi kile ameshindwa kuwakomboa sasa mtu kama huyo unamuamini vipi? si mliona alimtabiria yule mama Hillary atakuwa Rais lakini akakosea hata hapa nchini si alitabiria watu watano watakuwa marais katika hali ya kawaida nchi itaongozwaje na marais wote hao ? || Ameyasema hayo Mzee wa Upako kuhusu Utapeli wa TB Joshua.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.