Header Ads

VIDEO: Mjasiriamali Pekee Dodoma Aliyeishangaza Serikali Ya JPM,Mkuu Wa Wilaya Ampa Tano

Huyu  ni mmoja kati ya wajasiriamali wanao patikana jijini Dodoma  Anafahamika kwa jina la  Elias Thomas Mgwabi  ni mzaliwa wa kijiji cha mtitaa wilaya ya bahi jijini dodoma ni mkulima na msindikaji.

  Mwaka 2009 alianza  kilimo cha zabibu na Baada ya kulima masoko  ya zao hilo yalianza kusumbua.

 Baada ya kusumbua aliamua  kufikiri ni kwa namna gani anaweza kujitoa katika   changamoto hiyo.

 ilipo fika  mwaka 2013 alifikiria  namna ya usindikaji wa zao la zabibu..Na hapa ndipo safari yake ilipo anzia..

Tazama Video......

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.