Header Ads

VIDEO:Kauli ya Naibu Waziri wa Ardhi kuhusu ulipaji wa kodi wa Miezi 6 kwa wapangajiNaibu waziri wa nyumba na mandeleo ya makazi Mh Angela mabula amesema kuwa serikari inafanya mapitio ya sera ya maendeleo ya makazi ya mwaka 2000 kwa lengo la kuboresha  na kutunga sera ya nyumba ambayo itatoa mwongozo na maelekezo na Namna Bora  ya kusimamia sekta ya nyumba nchini.
Akizungumza Jijini Dodoma  katika uzinduzi  wa maonesho ya siku ya nyumba  yalio dhaminiwa na Benki ya NMB  , Mh Mabula amesema kuwa kwa sasa sera hiyo haipo ndio  ipo katika maandalizi na anaimani ikikamilika itakuwa imepanua wigo kwa kuweza kuelewa serikali inakusudia nini katika swala zima la uboreshaji wa nyumba na akaelezea makudio ya serikali.

Aidha, ameongeza kuwa serikali imeshatoa maelekezo  kwa mamlaka ya upangaji miji, kuhakisha kwamba maeneo yanayo tengwa kwaajili ya ujenzi wa nyumba yanawekewa miundombinu ya msingi.

Tazama Video...

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.