Header Ads

Wadau Waiponda Zawadi ya Gari ya Miss Tanzania...Wadai ni Mkebe ..Soma Walichoandika

Baada ya Page ya Instagram ya Clouds FM Kupost Picha ya gari ambalo amepewa mshindi wa Miss Tanzania 2018 Wadau mbali mbali walianza kuchangia na kuliponda

Clouds Waliandika hivi:

"Na hii ndiyo Zawadi kwa Mrembo atakayeibuka mshindi kwenye New Miss Tanzania 2018. Watoto wazuri wataondoka na gari zuriiiiiiiiiiii"
.


Haya hapa maoni ya Wadau baada ya kuliona gari la Miss Tanzania:

6h agocalvie_m_tz calvie_m_tz
Ila kusudi mnalo ilo sio gari ya kumpa mrembo

5h agomiraji90 miraji90
Mbona waongo walisema claun

5h agomiraji90 miraji90
kumbe suzuki

5h agoking_kisinini king_kisinini
@cloudsfmtz bora wangempa ile bajaj ya watu 6 ya mzee mbanga tungeona uzalendo kwanza ila hii namuona kabisa Dada anavyokuwa dere wa uberzzzz

5h agomalkia_wakuchamba malkia_wakuchamba
bampa kama loteeee😂

4h agoallygwiji allygwiji
Mamaeee zenu,bora fedha kuliko hicho

4h agorachel_zuwena rachel_zuwena
Bora ni pande bajaji kuliko kupanda gari kama ilo lichafu

4h agoiddy4125 iddy4125
Kibamia

3h agonemshed nemshed
Dadeki gari ya milions 5,,,haijafaa kuwekwa gari hii bana 👣

 2h agoofficialmamaduly officialmamaduly
Bampa la vogue

2h agoofficial_mtamatz official_mtamatz
Hata IST au bajaji mmeshindwa? Aibu sana wapiga promo na waandaaji

2h agoalikibadiamondplutnumz alikibadiamondplutnumz
Gari gani mbovu kisenge quma..makeeeee. Hiyo gar huna haja ya kupeleka car wash. Unachanganya na vyombo home unaoshaaa.

1h agomark_lucas24 mark_lucas24
Daaah mmekosa hata wadhamini mkanunua Harrier ni aibu

1h agonorkake norkake
@joseph_nalimi kwa kwer mtinyango uuwiiii

1h agoshimu_nation shimu_nation

1h agoshekaobe shekaobe
economic car,dats good

1h agolusajod.mwapongo lusajod.mwapongo
Mmh sio kwa gari hiyo JAMANI .... Miss TANZANIA😢???...... sio Miss SONGWE

1h agojumalilanga jumalilanga
Kama kuna ata baiskeli bora apewe iyo kuliko huo mkweche khaa!

1h agoabdallahswalehe97 abdallahswalehe97
Unafkiii. Hilo ndio gari zuri hahaaa

 54m agogordius81 gordius81
@baby_ruqqy hyo sio plate number Bali ni chases number

46m agomamabary mamabary
@eunice8181 hakuna cha kudamshi wala nene mi ata sijakapenda bora iyo pesa wangemfungulia ata kiofice cha m-pesa tgo pesa airtel money


43m agokismat1175 kismat1175
Sio kwa kigari hicho

42m agozulekhasalum5609 zulekhasalum5609
Tunapoelekea kuna siku mshindi wa MISS TANZANIA atakuja kupewa 'bodaboda'... tuombeni uzima tu🙉

38m agozuberic8 zuberic8
@shimu_nation 😂😂😂haili mafuta hy shimu_nation ulitaka mark x kila mda yupo Sheri


2m agojoyce.emmanuel.9699 joyce.emmanuel.9699
Gari au mkebe jaman

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.