Header Ads

Aliyezawadiwa gari na diamond amwaga machozi


Nimejifunza kitu kikubwa sana kwa diamond.. ambapo ni kuwa muajiri mzuri..

Diamond japo hana elimu kubwa kama waajiri wengi.. ila anajua kuishi na wafanyakazi wake..

Ndio maana hata walioacha kazi au kufukuzwa kazi.. bado wanampenda diamond na WCB kwa ujumla mfano kifesi, mwarabu fighter etc

Imagine bosi wako anakupa bonus ya gari au hata baiskeli.. raha ya kujaliwa inavyokusukuma ujitume zaidi na zaidi

Lukamba atoa machozi baada ya kupewa gari

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.