Header Ads

BIFU ZITO KATI YA CHRIS BROWN NA DRAKE LAMALIZIKA

Inaelezwa kuwa bifu lilokuwepo kati ya Rapper Drake na Chris Brown limemalizaka usiku wa October 12,2018 katika tour ya Aubrey & the Three Amigos  baada ya Drake kumpandisha Chris Brown kwenye stage moja.

Ngoma ya ‘Party’ ndio aliyoingia nayo Chris Brown alipopandishwa jukwaani na baadae kumalizia na ngoma ya ‘Freaky Friday’ huku ikilelezwa kuwa Drake ana mpango wa kufanya kazi kibao na Breezy na kuachiwa sokoni hivi karibuni.

Inasemakana kuwa wawili hao wamekuwa kwenye bifu kwa muda mrefu kutokana na wengi kumuhusisha  mwanadada Rihanna kama chanzo ikiwa  aliwahi kuwa mapenzini na Chris Brown na baadae kudaiwa kuwa kwenye mapenzi mapya na Drake

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.