Header Ads

Hili ndilo tatizo linalo sumbua Jamhuri ya Kidemokrasia ya kongo


Taarifa za hivi karibuni za Wizara Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imesema idadi ya walioambukizwa virusi vya ugonjwa huo imefikia mia moja sabini akiwemo askari wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo na vifo tisini na vitano.

Taarifa hiyo imesema mfanyakazi huyo wa kikosi cha kulinda amani ambaye ni fundi bomba, amepata maambukizi alipokuwa akifanya shughuli zake katika moja ya vituo vinavyowatibu watu walioambukizwa.

Fundi bomba huyo anatibiwa katika kituo kimoja katika mji wa Beni kinachotoa tiba kwa walioambukizwa hivi karibuni na kwamba wafanyakazi wenzake wamepatiwa chanjo dhidi ya ugonjwa huo

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.