Header Ads

Lynn asema yuko tayari kuolewa na Diamond

Video Queen maarufu nchini Tanzania, Lynn amesema kuwa yupo tayari kuolewa na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na hata mpenzi wake  anajua hilo.

Akizungumza na Waandishi kwenye red carpet ya Biko Jibebe Challenge, Linny amesema kitokea nafasi hiyo atakuwa tayari.

"Yeah! kwa sababu ni mwanaume, siwezi kusema hapana," amesejibu Lynn.

Utakumbuka kuwa Lynn alipata umaarufu mkubwa pindi alipotokea kwenye video ya msanii Rayvanny inayokwenda kwa jina la Kwetu.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.