Header Ads

Msanii mpya aliyetambulishwa na Vanessa Mdee kwenye lebo yake ya Mdee muziki
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Vanessa Mdee akiwa ndio kiongozi wa lebo ya muziki ya Mdee music akiwa yeye pamoja na mdogo wake Mini Mars,amefanikiwa kutambulisha msanii mwingine kwenye lebo hiyo.
Vanesa pia amezungumzia lengo la kumtambulisha msanii huyo,lakini pia ndio msanii aliyefanya nae ngoma inayoitwa kwa jina la “Silence” Msanii aliyetambulishwa na Vanessa Mdee anajulikana kwa jina la Brian Simba,huku Vanessa akimsifia sana msani huyo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.