Header Ads

MWILI WA PANCHO KUAGWA DAR


Mwili wa Pancho Latino Kuagwa Kesho Dar
Mwili wa  mtayarishaji huyo wa muziki Joshua Magawa maarufu kama Pancho Latino utaagwa kesho katika hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam na kusafirishwa kupelekwa lugalo mkoani Morogoro kwa mazishi.

Msemaji mkuu wa shughuli hiyo ya mazishi msanii Fid Q amesema kuwa shughuli za kuaga zitaansa saa 4:00 asubuhi na baada ya hapo utasafirishwa kwao gairo ambapo wanatarajia kufika usiku.

Pancho alifariki juzi katika visiwa vya mbudya alikokuwa akiogelea

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.