Header Ads

Ndugai apokea Barua ya Kujiuzulu ya Mbunge wa jimbo la Serengeti Marwa Ryoba ChachaSpika wa bunge Mheshimiwa Job Ndugai(mb) amepokea barua kwa mbunge wa jimbo la serengeti ,Mheshimiwa Marwa Ryoba Chacha ya kujiuzulu nafasi yake ya ubunge na kujivua uanachama na Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
kufuatia barua hiyo Mheshimiwa Spika amemuandikia mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi( NEC). Mheshimiwa jaji Semistocles kaijage kumfahamisha kuwa jimbo la serengeti lililoko Mkoani Mara kwa sasa liko wazi 

Advertisemen

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.