Header Ads

Rapa 50 awachokoza mashabiki wake

Msanii wa hip hop, Marekani 50 amewachokoza mashabiki wake kuhusu series yake ya power.

Rapa huwa amewauliza mashabiki wake vipi kama msimu ujao wa series hiyo utakuwa wa mwisho kabisa, kipi ambacho watamuambia.

Rapper huyo ambaye amehamia kwenye uigizaji, ameutumia ukurasa wake wa instagram kuandika hayo.Tayari Season 5 zimeruka huku pia akiongeza mkataba na STARZ wa kuendelea kuonesha msimu wasita kwa mwaka 2019

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.