Header Ads

Video:Tukio Kubwa Walilolifanya Hospitali Ya Benjamini Mkapa Kumuunga Mkono Makamu Wa Rais

MKURUNGEZI wa hospitali ya Benjamini Mkapa Alphonce Chandika ameitaka jamii kujenga tabia ya kufanya usafi wa mazingira mara kwa mara ili kujiepussha na maradhi yatokanayo na uchafu. Akitoa elimu ya usafi wa mazingira leo katika Soko Kuu la Majengo jijini Dodoma wakati wa kuadhimisha miaka mitatau tangu kuanzishwa kwa Hospitali hiyo Dk Chandika amesema ili kupunguza maradhi ya milipuko ya magonjwa ya kuambukiza ikiwemo kuharisha,matumbo na kipindupindu , ni wajibu wa kila mwanajamii kuhakikisha anafanya usafi kwa lengo la kutunza afya yake na jirani yake.

Tazama Video>>>

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.