Header Ads

Jokate amuunga mkono Nandy kwenye albam yake

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amenunua album ya Nandy kwa Tsh. 200,000.

Ni katika uzinduzi wa albamu hiyo yenye nyimbo zipatazo 13 ambao ulifanyika usiku wa Novemba 8 na kuhudhuriwa na watu wengi maarufu.

Licha ya DC Jokate kununua albamu hiyo kwa fedha nyingi, pia msanii wa filamu Bongo Aunt Ezekiel alinunua albamu hiyo kwa  Tsh. 150,000.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.