Header Ads

Kwa hiki ancho kifanya Diamond basi atarajie baraka

Afya ya Hawa Yaimarika Daimond Ahaidi Kumfungulia Biashara
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz amefurahishwa na habari zilizoenea za kuwa Hawa anaendelea vizuri baada ya kumgharamia matibabu yake.Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandiaka hivi:-Nafarijika Kuona Unatabasamu sasa......nitafurahi kusikia wazo zuri la biashara toka kwako nikuwezeshe 🙏🏻 #HawaIsSmilingNow


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.