Header Ads

Lulu abakiza siku 2 kumaliza kifungo


Muigizaji wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael amebakiza siku 2 kuweza kuwa huru baada ya kutumikia kifungo chake cha miaka 2.

Lulu alihukumiwa kifungo hicho mnamo mwaka 2017 baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia Muigizaji mwenzie Marehemu Steven Charles Kanumba.

Tarehe 14 mwezi May Lulu alibadilishwa adhabu na kutumikia kifungo cha nje.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.