Header Ads

Nafarijika Kuona Unatabasamu sasa_Diamond

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz amefurahishwa na habari zilizoenea za kuwa Hawa anaendelea vizuri baada ya kumgharamia matibabu yake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandiaka hivi:-
"Nafarijika Kuona Unatabasamu sasa......nitafurahi kusikia wazo zuri la biashara toka kwako nikuwezeshe 🙏🏻 #HawaIsSmilingNow "

Ikumbukwe Hawa alikuwa na tatizo la ini ila ni moyo ndio uliokua unapelekea mgonjwa kujaa maji mwilini na Babu Tale ndio alipewa jukumu la kusimamia matibabu yake nchini India kwa kuwa gharama zote za matibabu alizitoa Diamond Platnumz. 


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.