Header Ads

Nandy afanikiwa kuzindua albam yake

Hatimaye Nandy Azindua Albamu Yake ya Kwanza
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nandy amefanikiwa kuizindua albamu yake ya kwanza inayoitwa The african Princes usiku wa kuamkia leo pale katika ukumbi wa nextdoor maeneo ya Masaki jijini Dar Es Salaam.Nandy aliweza kuizinduka alibamu hii ambayo amesema kuwa imechukua mwaka mmoja kuiandaa tu,lakini uandaaji huo katika nyimbo zilizopo kwenye albamu hiyo nyimbo nyingi sana amesaidiwa na wasanii wenzake kuzintunga hasa wasanii wa THT ndio waliohusika zaidi, katika usiku huo uliokuwa wa aina yake ambayo pi ilikuwa siku ya kuzaliwa ya mwanadada huyo iliweza kuhudhuriwa na wasanii wengi sana akiwemo Bilnass, Jacklin Wolper,Aunt Ezekiel, pia DC wa Kisarawe Joketi Mwegelo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.