Header Ads

penzi la calisah lazidi kunoga


Safari ya Ndoa Imeiva, Calisah Atambulishwa Ukweni

Penzi la mwanamitindo Calisah kutoka tanzanina mwanadada Queen Vee kutoka nchi kenya linaonekana kwenda kwa kasi hasa baada ya mwanadada huyo kuamua kufanya vitu vingi vikubwa kw wakati mmoja na kwa haraka sana kuliko matarajio ya watu wengi.

Mwanadada huyo ambae alikuwa katika mahusiano na mwanamuziki mwingine na kuachana nae hivi karibuni ameonekana kuwa na hamu  ya ndoa na mwanamitindo huyo kutoka  tanzania hata kufikia hatua ya kwenda kumtambulisha nyumbani kwao.

Vera mabae alimzawadia zawadi ya gari mwanaume huyo hivi karibuni inasemekana kuwa wanampango wa kufunga ndoa hivi karibuni na ndioa maana hata wamenza na process za kutambulishana kwa wazazi wao.

Penzi hilo limeonekna akushamili sana wa muda mfupi na mashabiki wamekuwa na wasiwasi na uwepo wa ndoa hyo kama itaweza kudumu.

Wawili hao wanatarajiwa kutoka Kenya na kwenda nchini Nigeria na kisha kuja tanzania hivi karibuni.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.