Header Ads

Rappers maarufu nchini marekani wanusurika kupigwa risasi


Taarifa zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii nchini Marekani zinasema kuwa Rappers Kanye West, Nicki Minaj na Tekashi 6ix9ine wamekoswa koswa kupigwa Risasi wakiwa location wanashoot video.

Taarifa zaidi zinasema kuwa hakuna aliyeumia wakati wa tukio hilo kwasababu Chumba ambacho kilipigwa Risasi hakikua na Mtu kwani Nicki minaj alichelewa kufika location muda huo risasi zikirindima .

Rapper Kanye West aliyekua sehemu hiyo ya tukio aliamua kuahirisha kabisa kushoot video hiyo na kuwaamuru watu wote waondoke.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.