Header Ads

sextour ya idris sultan yazua balaa

Idris Sultan Awaacha Njia panda Mashabiki na Sex Tour
Mchekeshaji maarufu, idris sultana amewaacha mashabiki wake katika njia panda baada ya kuweka katika ukurasa wake wa instagram kuhusu tour wake mpya inayokaribia kufanyika hivi karibuni mwaka huu huku ikiwa haina maelezo yoyote.

Mashabiki wake walitaka sana kujuakuhusu tour hiyo ambayo idris mwenyewe ameiita sex tour huku mashabiki wake wakitaka kuua kujua sex tour hiyo inahusiana na nini hasa au kama ni sex kama inavyoaamnisha itakuwa ya  mtindo gani.

Katika ukurasa wake wa instargarm Idris aliandika kwa kuweka picha hii na kisha kusema kwa maneno “mbona itakuwa ishu sasa , #sextour2018..tunavaauhusika”

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.