Header Ads

wafanya biashara 3 mbaroni kwa tuhuma za utapeli

Watatu Watiwa Mbaroni kwa Utapeli Tarime
Jeshi la polisi mkoa wa kipolisi Tarime/ Rorya inawashikiria wafanyabiashara watatu mjini Tarime kwa tuhuma za utapeli.

Kamanda wa Polisi Wa mkoa huo Kamishina msaidizi Mwandamizi Henry Mwaibambe amesema wafanyabiashara hao wanashikiriliwa kwa kufanya utapeli fedha za wananchi.

Kamanda mwaibambe amesema kuwa watuhumiwa hao wamekuwa wakiwalaghai wananchi na kuchukua pesa zao na walipofanyiwa upekuzi nyumbani mwao wamekutwa na mtambo wa kutengeneza  fedha bandia na plati zake.

Aidha uchunguzi bado unaendelea na utakapo kamilika kamanda Mwaibambe ataongea na vyombo vya habari rasmi kuhusiana na tukio hilo na kuwataja wahusika kwa majina.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.