Header Ads

Amber Lulu atamba kuvishwa pete 'Imenunuliwa na mama mkwe'Msanii wa Muziki, Amber Lulu amesema kuwa umebaki mwezi mmoja tu avalishwe pete na mpenzi wake Prezzo.

Amber Lulu ameiambia Dizzim Online kuwa pete hivyo atakayo vishwa yeye imenunuliwa na mama mkwe wake na amesema mtoto wake amvalishe yeye na si mtu mwingine,"Hii pete anatakiwa avalishwe msichana anaitwa Amber Lulu kutoka Mbeya," alisema.

Msanii huyo aliendelea kusema kuwa mama mkwe wake huyo ni shoga yake na huwa wanaongea mambo mengi sana.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.