Header Ads

Arsenal yaibamiza Tottenham 4-2

Mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang akiruka sarakasi kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika ya 10 kwa penalti na 56 akimalizia pasi ya Aaron Ramsey katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Emirates.

Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 74 na Lucas Torreira dakika ya 77, wakati ya Spurs yamefungwa na Eric Dier dakika ya 30 akimalizia pasi ya Christian Eriksen na Harry Kane kwa penalti dakika ya 34

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.