Header Ads

CCM yaongoza kata zote nne kwenye uchaguzi wa marudio

Chama Cha Mapinduzi(CCM) kinaongoza kwenye kata zote nne zilirudia uchaguzi leo katika wilaya ya Kilwa mkoani Lindi.

Katika matokeo ya awali CCM kinaongoza katika zote nne za Kiranjeranje,Somanga,Mitole na Kivinje Singino.CUF kinafuatia kwa mbali

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.