Header Ads

Dkt. Reginald Mengi amuandikia ujumbe mzito mke wakeMkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya IPP,  Dkt. Reginald Mengi kufuatia siku ya kuzaliwa kwa mke wake Jackline Mengi ameandika ujumbe mzito katika siku yake hiyo.

Mengi amemshukuru mke wange huyo kwa kuwa sababu ya yeye kuishi huku akisema anampenda sana.

"My love, my darling wife, my best friend, the holder of the key to my life, it is always “ better late than never” Happy Birthday my Baby. Thank you for giving me reason to live. I love you crazy @JNtuyabaliwe," amechapisha Mengi kwenye ukurasa kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.