Header Ads

Hatimae Card b aonesha sura ya mwanae

Cardi B Aonyesha Sura ya Mwanae kwa Mara ya Kwanza
Baada ya miezi mitano kupita Rapper Cardi B hatimae kaonyesha sura ya mwanae Kulture kwa mara ya kwanza kupitia ukurasa wake wa instagram akiwa ameambatanisha na caption inayosomeka ‘Moyo Wangu’.

Cardi B amefanya hivyo ikiwa ni siku moja kupita baada ya kutangaza rasmi kuwa ameachana na mume wake Offset waliofunga ndoa ya siri September 20,2017.

Cardi B pamoja na Offset walibahatika kumpata Kulture Kiari Caphus siku ya July 10,2018.


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.