Header Ads

Linah afunguka kutua kwenye penzi jipya la msanii wa WCB


Muimbaji wa Bongo Fleva, Linah amefunguka kama mahusiano ya kimapenzi na Lava Lava.

Linah amesema hilo halina ukweli kwani Lava Lava ni mdogo wake.

"Mbona hamna, yule ni mdogo wangu siunaelewa tena kwa sababu tulikuwa wote THT. Labda urafiki wa faida, unajua Lava Lava ni mtunzi anaweza akahusika kwenye nyimbo kadhaa," amesema Linah kwenye Mahojiano na The Playlist ya Times FM .

Kwa sasa Linah anafaya vizuri na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Tuliza Boli.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.