Header Ads

Magufuli afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu Mstaafu Idara ya Usalama wa Taifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 6 Disemba, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi Mkuu Mstaafu  wa Idara ya Usalama wa Taifa Bwana Apson Mwang'onda ikulu Jijini Dar es salaam.Advertisemen

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.