Header Ads

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) Yaitaka Belarus Imkamate Rais wa Sudan, Omar al-Bashir atakapotembelea taifa hilo

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imeaindikia Belarus na kuitaka kumkamata Rais wa Sudan, Omar al-Bashir atakayetembelea taifa hilo karibuni. 

Rais huyo aliyeko madarakani kwa miaka 29, anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya binadamu na mauaji. 

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.