Header Ads

Mo jay afunguka haya kuhusu Gigy money

Mtangazaji wa clouds media, Mo Jay amefunguka  baada ya mwanadada Gigy Money kusema katika mitandao ya kijamii kuwa baba wa mtoto wake huyo ndio aliempiga na wala sio mpenzi wake mpya.

Katika moja ya post yake wiki hii Gigy Money alieleza mengi na mwishoni alisema kuwa hata makovu hayo yaliyo mwilini mwake hivi karibuni ni baba mzazi wa mtoto wake ndio aliesababisha kwa kumpiga.

Hata baada ya maneno mengi katika kitandao, shabiki mmoja aliamua kum-attack mo jay kwa kuwambia kua aache kuiga mama wa mtoto wake na ndipo mwanaue huyo alipoamua kumjibu shabiki huyo kwa kusema “shortly alikuja kwangu kunifanyia fujo, na sio mara moja nitawaeleza ilivyokuwa :

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.