Header Ads

Rais Mstaafu Mwinyi Alazwa, Rais Magufuli Amjulia Hali


Rais Magufuli leo Desemba 5, amemjulia hali Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi anayepatiwa matibabu katika moja ya hospitali jijini Dar

Hata hivyo, hajawekwa wazi sehemu anapopatiwa matibabu hayo wala tatizo linalomsumbua

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.