Header Ads

VIDEO:CCM hakita mvumilia mtu yeyote atakayetengeneza makundi kwa lengo la kuharibu sifa ya Chama.
DODOMA: Mjumbe Kamati Kuu ya Halmashauri Taifa (NEC) ambaye pia ni Mlezi wa Chama cha mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Leila Ngozi amesema kuwa Chama cha Mapinduzi CCM hakita mvumilia mtu yeyote atakayetengeneza makundi kwa lengo la kuharibu sifa ya Chama. Akipokelewa leo na viongozi na wanachama Mbalimbali wa Chama cha CCM leo Jijini Dodoma Mlezi huyo amesema kuwa makundi ni aduni wa haki na kuongeza kwa kuwataka viongozi hao kuacha tabia ya kupost vitu kwenye mitandao biala kupata taarifa sahihi.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.