Header Ads

VIDEO:KASI YA AWAMU YA TANO YA JPM SIYO YA MCHEZO MCHEZO,HII HAPA KASI YA KATIBU MKUU MHANDISI IYOMBEDodoma: Katibu mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Musa Iyombe amewataka watumishi wa wizara hiyo kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuleta manufaa chanya kwa Watanzania. Mhandisi Iyombe ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati wa halfa ya kumpa tuzo ya utumishi uliotukuka iliyotolewa na shirika la Kimaita Jaica kutoka nchini Japan

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.