Header Ads

Wakili Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5

Jaji Issa Maige wa Mahakama Kuu Arusha, amemuhukumu wakili Medium Mwale kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh 200 milioni kutokana na kosa la utakatishaji fedha

Pia amemuhukumu kifungo cha miaka saba ambacho ameshakitumikia kutokana na makosa mengine.

Wakili Mwale na wenzake, Boniface Mwimbwa aliyekuwa meneja wa Benki ya CRDB tawi la Meru na Elias Ndejembi wanatuhumiwa kwa makosa 41 ikiwemo kughushi na utakatishaji fedha.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.