Header Ads

Gattuso: Higuain anataka kuondoka

Kocha wa klabu ya AC Milan Gennaro Gattuso, amethibitisha kuwa mchezaji wake raia wa Argentina Gonzalo Higuain anataka kuondoka klabuni hapo.

Higuain alijiunga na klabu ya AC Milan kwa mkopo wa msimu kutokea klabu Juventus mwezi Julai.

"Mchezaji anapoweka akili yake kuondoka kwenye klabu ni ngumu kumbadilisha maamuzi yakeW," amesema Gattuso.

"Kwasasa ni mchezaji wetu, tunamuhitaji. sijui nini kitatokea."

Mchezaji huyo anahusishwa kutaka kujiunga na klabu ya Chelsea ya Uingereza.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.