Header Ads

Haji Manara kuja pafume maalumu kwaajili ya watu wenye ulemavu wa ngozi

Haji Manara Azindua Perfume kwaajili ya Albino
Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amesema anakusudia kutengeneza na kuzindua Perfume maalum kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Maalbino) itakayoitwa ‘De Le Boss”

Manara ambaye naye pia ni Mlemavu wa ngozi amesema pia siku atakayozinduza losheni hizo atazindua pia Haji Manara Foundation itakayokuwa inashughulika na kusaidia walemavu wa aina hiyo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.