Header Ads

Man United yamlipa Mourinho Tsh bilioni 45


Imeripotiwa kuwa Manchester United ilimlipa fidia ya £15m zaidi ya shilingi Bilioni 44 kocha Jose Mourinho, baada ya kumfuta kazi Disemba 18, 2018. Mkataba wake katika timu hiyo ulikuwa unamalizika msimu wa 2019/20.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.