Header Ads

Mimi ni Mlevi wa Mlegezo Ila Mwanangu Apendi Kuniona Nikivaa Hivyo- Nay wa Mitego

Mimi ni Mlevi wa Mlegezo Ila Mwanangu Apendi Kuniona Nikivaa Hivyo- Nay wa Mitego
Msanii wa muziki Bongo, Nay wa Mitego amesema mtoto, Curtis  wake hapendi kumuona akiwa amevaa suruale mlegezo.

Nay ameeleza kuwa ni mara kadhaa mwanaye amekuwa akimueleza juu ya tabia hiyo ambayo kwake imekuwa sugu sasa.

"Curtis hapendi nivae mlegezo, kiukweli mimi ni mlevi wa mlegezo. Akaja akaniambia dady simama, nikasimama akaniambia dady pandisha suruali," amesema Nay wa Mitego.

Ameendelea kwa kusema kuwa, 'Nikwamwambia nani amekuruhusu hiyo, akaniambia ninavuka nguo pandisha suruali,'

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.