Header Ads

Mo Dewji Awaomba Mashabiki Simba Kujaza Taifa

Mo Dewji Awaomba Mashabiki Simba Kujaza Taifa
Mmoja ya wamiliki wa simba na C.E.O wa kampuni ya METL Mohamed Dewij amefunguka na kuonyeshania ya kutaka matokeo mazuri na ya ushindi katika mchezo wa leo kati ya Simba na timu kutoka nchini Algeria ya JS Saoura.


Ikumbukwe kwamba timu hii kutoka Algeria anachezea Mtanzania Thomas Ulimwengu. Ujumbe wa Mo Dewij kwa mashabiki na wadau wa soka ni huu hapa:-

“Siri ya ushindi ipo mikononi mwa mashabiki wa Simba! Kwa heshima na taadhima tujaze uwanja. 🙏🏽 #YESWECAN”

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.