Header Ads

Msanii Madee Achelewa Ndege Air Tanzania Kama Diamond, Apiga Magoti na Kutumia Busara Akaruhusiwa


Ameandika haya Madee katika ukurasa wake wa Instagram:

From @madeeali - Leo asubuhi nlikua na safari yakuelekea sehemu fulani na usafir ambao nlichagua kuutumia ni @airtanzania_atcl ,lakini kwa bahati mbaya nilikua nje ya mda..hapo ndipo nikakumbuka mafunzo ya mama kua BUSARA HEKIMA NA UKARIMU ndio kinga yakwanza kwa yyte anaenitazama,nikawaomba na japokua kulikua na maelekezo kidogo bt mwisho wasiku simu ikapigwa na milango ya ndege ikafunguliwa!! Kisha mnyamwezi wenu nikazama ndichi nakujumuika na abiria wenzangu tukiwa na tabasamu pana kabisa la asubuhi!! Lakini kilichonistaajabisha nipale nlipofatwa kwenye seat yangu nakuambiwa ndugu Hamad twende ukakae kwenye Business class hali yakua tiketi yangu haikua inaniruhusu kukaa business class /kwahaya machache nafkiri kipo ambacho mtakua mmejifunza..pia napenda kuishukuru serekali yangu pamoja na wafanyakazi wote wa shirika la ndege la @airtanzania_atcl kwa huduma nzuri mnayoendelea kuwapa wananchi wamadaraja yote!! Na nimeskia leo mida ya saa tisa tunampokea mgeni mwengine AIR BUS­čÖĆtujumuike kwa pamoja tukammwagie maji mgeni wetu

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.