Header Ads

Mwanamke Mjamzito Aliwa na Mamba Live Mzima Mzima.


Huzuni imetanda katika eneo la Namayingo Uganda baada ya mwanamke mja mzito kuliwa na mamba alipokwenda kuteka maji katika ziwa Victoria.

Bibi huyo kwa mujibu wa jarida la New Vision alikuwa na mimba ya miezi 7. Wanakijiji hawakuweza kumnusuru kwa sababu ya kasi ya shambulizi hilo.
Kiongozi wa eneo hilo Mohammed Kibirige alilalamikia kupuuzwa kwa ombi la wenyeji kwa shirika la huduma kwa wanyama pori la Uganda, mamba hao waondolewe.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.