Header Ads

Picha yenye Likes Nyingi Kuliko Zote Toka Instagram Ianzishwe


Je wajua picha inayoshikilia rekodi ya kupendwa zaidi katika mtandao wa Instagram?

Yai
Picha hii ilichapishwa tarehe 4 Januari na kufikia wakati wa kuchapisha habari hii, yai limevutia “likes” milioni 24.45m.
Kabla yai hili picha iliyokuwa maarufu zaidi ilikuwa ya Kylie Jenner (Milioni 18 ) alipokuwa akitangaza kuzaliwa kwa mwanawe.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.