Header Ads

PICHA:Mshindi wa sh. Milioni 50 Zabroni katika promosheni ya Tigo JigiftisheMshindi wa zawadi kubwa ya shilingi milioni 50 katika Promosheni iliyomalizika ya Tigo Jigiftishe Sadiki Zabroni Kilipamwambu, akiwa amebebwa na wafanyabiashara wenzake wa nyanya wakati akienda kupokea zawadi yake katika hafla ya kumkabidhi zawadi iliyofanyika katika soko la Manzese mjini Songea.Mshindi wa zawadi kubwa ya shilingi milioni 50 katika Promosheni iliyomalizika ya Tigo Jigiftishe Sadick Zabron Kilipamwambu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Abbas Abrahaman (wa pili kushoto). Wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa Tigo na mshereheshaji wa shughuli hiyo Okechi Okechi.


Mshindi wa zawadi kubwa ya shilingi milioni 50 katika Promosheni iliyomalizika ya Tigo Jigiftishe Sadick Zabron Kilipamwambu kutoka Songea, akionyesha nyumba anayoishi muda mfupi kabla ya kukabidhiwa zawadi yake mjini Songea.Mshindi wa zawadi kubwa ya shilingi milioni 50 katika Promosheni iliyomalizika ya Tigo Jigiftishe Sadick Zabron Kilipamwambu kutoka Songea, akimuonyesha Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini Abbas Abrahaman (wa kwanza  kushoto) na Oliver Baltazar ambaye ni mratibu wa biashara na masoko wakwa kanda ya Kusini shamba lake la nyanya.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.