Header Ads

VIDEO:LIVE :JPM KWENYE MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA AIRBUS A220-300Ndege nyingine mpya ya Serikali aina ya Airbus A220-300 iliyopewa jina la Ngorongoro inatarajia kuwasilini nchini kesho Ijumaa mchana, ambapo itafanya idadi ya ndege zilizonunuliwa na Serikali kufikia sita. Ndege hiyo ambayo tayari inanakshi za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) endapo itakodishwa kwa shirika hilo kama ilivyofanyika kwa ndege nyingine tano itafanya jumla ya ndege za ATCL kufikia 7, ikijumlishwa na ndege yao ya zamani aina ya Bombardier Q300 ambayo sasa ipo katika matengenezo.

Tazama Video...

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.