Header Ads

VIDEO:TAARIFA MUHIMU NZITO ILIYOTUFIKIA IKIMUHUSU RAIS MAGUFULIRais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametoa fursa kwa wananchi waliojenga bila ya kufuata mipango miji na hawana hatimiliki za ardhi kufanyiwa urasimishaji wa makazi na kuelekeza kuwa wasibomolewe nyumba zao tena kwakuwa hayakuwa makosa yao kujenga maeneo hayo. Hayo yamesema na Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maendeleo na Makazi, William Lukuvi, wilayani Simanjiro mkoani Manyara alipofanya ziara ya kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi kwa wakazi wa mji huo, ambapo amewataka wananchi wote wachangamkie fursa hiyo iliyotolewa na Rais

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.