Ajali mbaya yatokea usiku wa kuamkia leo
Ajali mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Kata ya Hamugembe Manispaa ya Bukoba Mjini Mkoani Kagera na kusababisha vifo vya watu 4 waliokuwemo katika magari hayo.
Ajali hiyo imehusisha magari aina ya Toyota Hiace T- 869 CHT na Fuso T-223 ATK ambapo yaligongana uso kwa uso na kusababisha mlipuko mkubwa wa moto kutokea katika eneo hilo.
No comments:
Post a Comment