Header Ads

Bunge laahirishwa baada ya kufanyika kwa wiki mbili .

Bunge laahirishwa baada ya kufanyika kwa wiki mbili .
Mkutano wa 14 wa Bunge La 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeahirishwa leo February 09, 2019 Jijini Dodoma baada ya kufanyika kwa wiki mbili.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amelihutubia Bunge na taifa wakati wa kuahirisha Bunge liloanza Januari 29 mwaka huu.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.