Header Ads

Chelsea yapokea kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa Manchester City

Klabu ya Manchester City imeweza kupata ushindi mkubwa dhidi ya Chelsea kwa kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza uliopigwa kwenye dimba la Ethadi.

Magoli ya City yalifungwa Sterling dakika ya 4, 80, Aguero dakika ya 13,18 na 56 na jingine likifungwa na Gundogan dakika ya 24.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.